Maafisa wa IEBC wakiona cha mtema kuni siku ya 1 ya usajili wa wapiga kura
- Zoezi la usajili wa wapiga kura lilingoa nanga kote nchini Jumatatu, Januari 16 - Maafisa wa IEBC Nairobi, hata hivyo, walikumbana na vijana wenye hasira waliotaka kuhamishwa hadi vituo vingine vya kupiga kura