Watu 45 Walifariki kwenye Mkanyagano Wakati wa Kutazama Mwili wa Magufuli
- Kisa hicho cha kuhuzunisha kilitokea Jumapili, Machi 21 katika Uwanja wa Uhuru - Kamanda wa Polisi wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa alisema kuwa waombolezaji wengine 37 waliwachwa na majeraha - Wiki iliyopita, miili ya watu watano wa familia moja ambao waliangamia baada ya kukanyagwa katika Uwanja wa Uhuru ilizikwa