- Ali Kambi Mkembi alifikishwa mahakamani jijini Mombasa siku ya Jumatano, Desemba 20 baada ya kumchapa kofi afisa wa kike wa trafiki katika eneo la Changamwe
- Afisa huyo alimdhalilisha afisa huyo siku ya Jumatatu, Desemba 18
Dereva mmoja wa matatu kwa jina Ali Kambi Mkembi alifikishwa mahakamani siku ya Alhamisi, Desemba 21 kwa kumzaba kofi afisa wa kike wa trafiki.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Habari Nyingine: Pata kufahamu mali inayomilikiwa na familia za Raila Odinga na Uhuru Kenyatta
Mkembi anasemekana kumdhulumu Winnie Wangari katika eneo la Changamwe siku ya Jumatatu, Desemba 18 baada ya afisa hayo kumtaka atoe leseni yake ya udereva kukaguliwa.
Habari Nyingine: Mwanamke mwenye miaka 58 adaiwa kujifungua mtoto mvulana (picha)
Ni baada ya vuta nkuvute ndipo afisa huyo akaamua kumkamata Mkembi, ambaye alikaidi.
Ali alipinga madai hayo na kudai kuwa afisa huyo ndiye aliyemuudhi. Alikiri kuwa na kosa lakini la kumpiga, hapana.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe?Tuma ujumbe kwa mhariri:mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia350fJNmm56qlauubsPAZqSarJGpwm6t0qGgrZmbnsSiecqwmGajpaLHoq7AZqSao5%2Bbtm6txaKqmmWnlnqxu8uiqqJlp5Z6rLXKnmWhrJ2h